Daudi Michael ( Duma ) kushoto mwenye suti nyeusi msanii maarufu aliyefunika katika Filamu iitwayo SIRI YA MTUNGI leo amemzika mama yake mzazi baada ya kumuuguza kwa
mda mrefu kidogo hatimaye kufariki dunia jana.
mda mrefu kidogo hatimaye kufariki dunia jana.
Kushoto ni Msanii aliyefiwa na mama yake mzazi, Hapo pichani amekumbatiana na msanii mwenzie maarufu kutoka bongo movie's Shija katika hali ya kuliwazana kusahau yaliopita maana yote ni mipango ya mungu haipingiki hata kidogo..
Mtu wa karibu wa msanii huyo aliyeondokewa na mama yake mzazi aliiambia Website ya Masai Nyotambofu wasanii walionyesha ushirikiano wa hali ya juu kwa kuhudhuria katika msiba huo na huo ndio mfano mzuri kwa wasanii tupendane wakati wa raha na wakati wa matatizo pia. M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
Kupa, Kitale Teja na Mkono wa mkonole wakiwa katika hali ya majonzi kufuatia msiba huo..






Majanja, Kupa na Shija..

Majanja akipiga menyu









Mwili wa marehemu ukiwa kwenye gari tayari kupelekwa makaburini kuhifadhiwa..
Hapo ndipo alipolala l
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni