Ijumaa, 7 Juni 2013

ZOEZI LA KUTAHIRIWA TUNDUMA

Wananchi wote wa tunduma hususani wale ambao bado hawajatahiriwa mnatakiwa muende katika kituo cha afya tunduma kwa ajili ya kupata huduma hiyo(serikalini) huduma hii ni bure bila malipo yoyote TOHARA HUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KWA 90%.

MSIBA WA MZEE SICHELA a.k.a MZEE ZANJI

Nasikitika kuwatangazia wananchi wote wa Tunduma kuwa tumempoteza ndungu yetu mzee zanji tarehe 02.06.2013 mchana akiwa nyumbani kwake MPEMBA na tunategemea kumzika  mzee huyo tarehe 04.06.2013 kijijini chapwa katika makaburi ya ukoo huo ya sichela.Poleni ndugu,jamaa na marafiki wa familia na ukoo kwa ujumla wa SICHELA . MUNGU ALITOA NA MUNGU AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE AMEEN